ABOUT

Hii ni blog inayolenga kuchukua nafasi ya blog iliyokuwa ikienda kwa anuani ya http://mbuke.blogspot.com/ ambayo kwa sasa nimesitisha kuifanyia maboresho .

Hivyo anuani mpya kwa ajili ya Mbuke Times mpya ni :
http://mbukeremake.blogspot.com/

Mambo mengi mazuri mazuri yanakuja kupitia Mbuke Times mpya , kaa tayari na endelea kutembelea blog yetu hii.




Ahsante kwa ushirikiiano wako.

John Gabriel Myungire
--Mwanzilishi na mwendeshaji wa Mbuke Times.