Sunday, April 19, 2015

"UZEMBE" HUU WA WAANDISHI WA HABARI UTAISHA LINI ?


Hawa jamaa wa Simu.tv wanatoa mfano mbovu wa kutokuwa makini katika fani husika. Naona wamekosa waandishi wenye kujua nini wanafanya ona haya maelezo yao : "HALI SI SHWARI MKOANI TABORA baada ya Kiongozi mkuu wa ACT Zitto kabwe kubainisha vikwazo vya mkoa huo ikiwa ni pamoja na umasikini."
--- Ukiangalia habari , haina chochote kinachoeleza hiyo hali ya kutokuwa shwari.
-- Ndio hawa hawa wenye kutumia neno "KATIKA HALI ISIYO YA KAWAIDA" ili mradi tuu wameandika.

0 comments:

Post a Comment